Appears in 2 hymnals Scripture: Psalm 34:3 Lyrics: Mtukuzeni Bwana pamoja nami, nami, nami,
Mtukuzeni Bwana pamoja nami, nami, nami,
Na tuliadhimishe jina lake pamoja, pamoja.
Na tuliadhimishe jina lake pamoja, pamoja.
Mtukuzeni Bwana,
Mtukuzeni Bwana,
Na tuliadhimishe,
Na tuliadhimishe,
Tuimbe jina lake,
Tuimbe jina lake,
Wokovu wake Bwana,
Wokovu wake Bwana,
Mtukuzeni Bwana,
Mtukuzeni Bwana,
Na tuliadhimishe,
Na tuliadhimishe.
Mtukuzeni Bwana, pamoja nami, nami, nami,
Mtukuzeni Bwana, pamoja nami, nami, nami,
Na tuliadhimishe jina lake pamoja, pamoja.
Na tuliadhimishe jina lake pamoja, pamoja.
Topics: Irada, Sifa Na Injil
Mtukuzeni Bwana Pamoja Nami