108. Tumsifu Mungu enzini

1 Tumsifu Mungu enzini
na Mwana wake wa pekee,
aliyefanya wokovu:
Haleluya! Haleluya! Haleluya!

2 Siku ya tatu mapema,
jiwe halijaondolewa,
akafufuka mshinidaji.
Haleluya! Haleluya! Haleluya!

3 Ametoka kuzimuni,
makosa hata shida zote
zimetoweka kabisa.
Haleluya! Haleluya! Haleluya!

4 Umemwumbua Shetani,
ukamvua mapambo yake,
ukafungua kifungo.
Haleluya! Haleluya! Haleluya!

Text Information
First Line: Tumsifu Mungu enzini
Title: Tumsifu Mungu enzini
German Title: Gelobt Sei Gott im höchsten Thron
Author: M. Weisse, 1480-1534
Language: Swahili
Publication Date: 1988
Topic: Yesu amefufuka
Notes: Sauti: Gelobt Sei Gott im höchsten Thron by M. Vulpius, 1570-1615, Posaunen Buch, Erster Band #240, Lutheran Book of Worship #144
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us