Useme Nami Bwana

Useme nami Bwana

Author: L. L. Pickett
Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Useme nami Bwana, uninong'oneze,
Useme na upendo kwamba sitaachwa;
Uufungue moyo ili nisikie,
Unijaze na sifa nikushangilie

Refrain:
Useme nami Bwana, useme na pendo,
Nitakuwa mshindi kwa uweza wako;
Useme kila siku, nitakusikia,
Useme nami Bwana, kwamba sitaachwa.

2 Useme nasi Bwana, kwako tuongozwe,
Tujazwe na furaha na utufundishe;
Tujitoe uzima kwa Ufalme wako,
Mbinguni kwa milele, tukuone humo. {Refrain]

3 Kama ulivyosema na watu wa kale,
Useme nasi sasa, Neno litendeke;
Nikutukuze Bwana, siku zangu zote,
Nikuheshimu pia, sasa na milele. [Refraom]

Source: Nyimbo Za Imani Yetu #147

Author: L. L. Pickett

Rv Leander Lycurgus Pickett USA 1859-1928. Born at Burnsville, MS, he became a Methodist evangelist. He held meetings in several states and at Holiness campgrounds. After marrying Ludie, they served pastorates in northeast TX, and Columbia, SC, before moving to Wilmore, KY. Pickett married Pruvy Melviney Dorough in 1878, and they had a son, James, in 1880. After her death in 1887, he married Ludie in 1888. He was a renowned speaker, leader, minister, author, hymnwriter, and patriot, prominent in the Holiness Movement, and helped found Asbury College (now University), at Wilmore, KY, where he also served as the financial agent of the board of trustees for many years. The Picketts boarded m,inistry students attending Asbury, among who… Go to person page >

Text Information

First Line: Useme nami Bwana
Title: Useme Nami Bwana
English Title: Speak to my soul, dear Jesus
Author: L. L. Pickett
Language: Swahili
Refrain First Line: Usame nami Bwana
Copyright: Public Domain

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Nyimbo Za Imani Yetu #147

Suggestions or corrections? Contact us