Mungu upokee moyo wangu

Mungu upokee

Author: J. J. Rambach
Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Mungu upokee
moyo wangu wote,
niwe mtoto wako,
siku zangu zote.
Nikufuate wewe
nisikuache tena,
nishike siku zote,
ulivyotuagiza.
Unisaidie mimi,
hata kufa kwangu.

2 Msalabani pako,
Yesu naanguka,
uliyenifia
hata mimi pia.
Yaondoe makosa
yatoweke kabisa,
nipate kuwa safi
kwa damu yako bora.
Unisaidie mimi
hata kufa kwangu.

3 Roho Mtakatifu
unanipa nguvu;
niweze kushinda
majaribu yote,
naomba: Utawale
katika moyo wangu,
Shetani hata kufa,
asinishinde mini.
Unisaidie mimi,
hata kufa kwangu.

4 Baba, Mwana, Roho,
uliye mmoje tu,
niliye maskini
nakuomba sana:
Unikubali sasa,
katika ubatizo,
futa makosa yangu
kwa maji haya bora.
Unisaidie mimi,
hata kufa kwangu.

Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #162

Author: J. J. Rambach

Rambach, Johann Jakob, D.D., son of Hans Jakob Rambach, cabinet maker at Halle on the Saale, was born at Halle, Feb. 24, 1693. In 1706 he left school and entered his father's workshop, but, in the autumn of 1707, he dislocated his ankle. During his illness he turned again to his schoolbooks; the desire for learning reawoke; and on his recovery, early in 1708, he entered the Latin school of the Orphanage at Halle (Glaucha). On Oct. 27, 1712, he matriculated at the University of Halle as a student of medicine, but soon turned his attention to theology. He became specially interested in the study of the Old Testament under J. H. Michaelis. In May 1715 he became one of Michaelis's assistants in preparing his edition of the Hebrew Bible, for whi… Go to person page >

Text Information

First Line: Mungu upokee
Title: Mungu upokee moyo wangu
German Title: Mein Schöpfer steh mir bei
Author: J. J. Rambach
Language: Swahili
Notes: Sauti: Mein Schöpfer steh mir bei by C. Meyer, 1741, Posaunen Buch #162

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Mwimbieni Bwana #162

Suggestions or corrections? Contact us