Mungu Baba

Mungu Baba Aliwapenda wote

Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Mungu Baba
Aliwapenda wote
Mungu Baba
Aliwapenda wote.

2 Akamtuma
Mwana wake wa pekee
Akamtuma
Mwana wake wa pekee

3 Kutupenda
Alitufilia sisi
Kutupenda
Alitufilia sis.

4 Yu hai
Yu hai kweli
Yu hai
Yu hai kweli.

5 Alienda
Alienda mbinguni
Alienda
Alienda mbinguni.

6 Yu Mfalme
Yu Mfalme Yesu
Yu Mfalme
Yu Mfalme Yesu.

7 Ni mlinzi
Ni mlinzi wetu
Ni mlinzi
Ni mlinzi wetu.

8 Atuita
Atuita leo
Atuita
Atuita leo.

9 Tulisikie
Tulisikie Neno
Tulisikie
Tulisikie Neno.

10 Tumshukuru
Tumshukuru Mfalme
Tumshukuru
Tumshukuru Mfalme.

Source: Nyimbo Za Imani Yetu #200

Text Information

First Line: Mungu Baba Aliwapenda wote
Title: Mungu Baba
Language: Swahili
Publication Date: 1994
Notes: Sauti ya Kinsenga (Zambia), Africa Praise #12
Copyright: This text may still be under copyright because it was published in 1994.

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
Text

Nyimbo Za Imani Yetu #200

Suggestions or corrections? Contact us