Instance Results

In:instances
Text Identifier:"^tangu_siku_hiyo_aliponijia$"

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 2 of 2Results Per Page: 102050
TextAudio

Tangu Siku Hijo Aliponijia

Author: Rufus Henry McDaniel; Unknown Hymnal: The Cyber Hymnal #15524 First Line: Tangu siku hiyo aliponijia Refrain First Line: Amani moyoni mwangu Lyrics: 1 Tangu siku hiyo aliponijia, Akae moyoni mwangu. Sina giza tena, ila mwanga pia, Kwa Yesu, Mwokozi wangu. Refrain: Amani moyoni mwangu, Kwa Yesu, Mwokozi wangu. Sina shaka kamwe Kwa sababu yeye Yu nami moyoni mwangu. 2 Sina haja tena ya kutanga-tanga, Ndiye Kiongozi changu. Dhambi zangu zote zimeondolewa, Na Yesu Mwanawe Mungu. [Refrain] 3 Matumaini yangu ni ya hakika, Katika Mwokozi wangu. Hofu zangu na hamu zimeondoka, Kwa kuwa ninaye Yesu. [Refrain] 4 Siogopi tena nikiitwa kufa, Yu nami daima Yesu. Mlango wa mbingu ni Yesu Mwokozi, ’Tapita humo kwa damu. [Refrain] 5 Nitaketi na Yesu huko milele, Nimsifu Mwokozi wangu. Nina raha moyoni majira yote, Kwa Yesu Mwanawe Mungu. [Refrain] Languages: Swahili Tune Title: [Tangu siku hiyo aliponijia]
Page scan

Amani moyoni mwangu, kwa Yesu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #247 (1994) First Line: Tangu siku hiyo aliponijia Topics: Ushuhuda; Wokovu Scripture: Romans 8:37 Languages: Swahili

Export as CSV