Instance Results

In:instances
Text Identifier:"^jina_la_yesu_salamu_lisujudieni$"

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 2 of 2Results Per Page: 102050
TextPage scan

Jina La Yesu, Salamu!

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #11 (1994) First Line: Jina la Yesu, salamu! Refrain First Line: Na enzi, enzi Lyrics: 1 Jina la Yesu, salumu! Lisujudieni, Lisujudieni; Ninyi mbinguni, hukumu, Na enzi, enzi, enzi, enzi, Enzi enzi, enzi na enzi mpeni. 2 Enzi na apewa kwenu, Wateteea dini, Watetea dini; Mkuzeni Bwana wenu Na enzi, enzi, enzi, enzi, Enzi enzi, enzi na enzi mpeni. 3 Enyi mbegu ya rehema, Nanyi msifuni, Nanyi msifuni; Mmeponywa kwa neema, Na enzi, enzi, enzi, enzi, Enzi enzi, enzi na enzi mpeni. 4 Wenye dhambi kumbukeni, Ya msalabani, Ya msalabani, Kwa furaha msifuni, Na enzi, enzi, enzi, enzi, Enzi enzi, enzi na enzi mpeni. 5 Kila mtu duniani Msujudieni, Msujudieni; Kote-kote msifuni, Na enzi, enzi, enzi, enzi, Enzi enzi, enzi na enzi mpeni. 6 Sisi na wao pamoja tu Humo sifani, Humo sifani; Milele sifa ni moja, Na enzi, enzi, enzi, enzi, Enzi enzi, enzi na enzi mpeni. Topics: Irada, Sifa Na Injil Scripture: Matthew 1:21 Languages: Swahili

Jina la Yesu, salamu!

Hymnal: Nyimbo za Imani Yetu #11 (2003) First Line: Jina la Yesu, salamu! Refrain First Line: Na enzi, enzi Languages: Swahili Tune Title: DIADEM

Export as CSV