Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #14 (1994) Hymnal Title: Nyimbo Za Imani Yetu Refrain First Line: Kabla ya kuumba vyote dunia na vitu Lyrics: 1 Mungu ndiye Mwamba wetu, nguvu za milele;
Hatuogopi kwa kuwa twapatana naye.
Refrain:
Kabla ya kuumba vyote dunia na vitu,
Wewe, Mungu, ulikuwa Mungu wa milele.
2 Wewe hutumainiwa zamani na leo.
Nguvu zako zawatosha watu wako, Bwana. [Refrain]
3 Kwako, Wewe miaka elfu ni kama kitambo,
Mbingu zijapotoweka, Wewe utadumu. [Refrain]
4 Mungu ndiye Mwamba wetu, nguvu za milele,
Twakunyenyekea Wewe, Twakutumaini [Refrain] Topics: Irada, Sifa Na Injil Scripture: Psalm 90:1 Languages: Swahili
Mungu Ndiye Mwamba Wetu