63. Yesu Kristo Azaliwa

1 Yesu Kristo,
Azaliwa,
Yesu Kristo,
Azaliwa,
Mjini Bethelehemu.Jina lake ni nani?
Imanueli, Mungu pamoja nasi wanadamu.

2 Toka mbali
Mashariki,
Toka mbali
Mashariki,
Walikuja Mamajusi, Kuja kumsufudu,
Mwana wa mungu. Maliaka mbinguni wamsifu.

3 Nyota ili
Waongoza,
Nyota ili
Waongoza,
Mamajusi waliiona, Mjini mwake Yuda,
Nyumba ya Daudi, Masihi amekuja, Haleluya!

4 Leo wangi
Wanimba,
Leo wengi
Wanaimba,
Haleluya, haleluya! Imbeni na furaha.
Na ku-sifu, Mwokozi amekuja kwetu sis.

5 Ni usiku
Wa amani,
Ni usiku
Wa amani,
Tumsifu Mungu wetu, Duniani amani,
Ameleta, Utukufu kwa Mungu juu mbinguni.

Text Information
First Line: Yesu Kristo, Azaliwa
Title: Yesu Kristo Azaliwa
Author: Elkana Mashimba
Language: Swahili
Publication Date: 1994
Scripture:
Topic: Kuzaliwa Kwake Kristo
Notes: Sauti ya Kisukuma, Tufurahi na Kuimba
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us