20. Mtukuzeni Bwana Pamoja Nami

Mtukuzeni Bwana pamoja nami, nami, nami,
Mtukuzeni Bwana pamoja nami, nami, nami,
Na tuliadhimishe jina lake pamoja, pamoja.
Na tuliadhimishe jina lake pamoja, pamoja.
Mtukuzeni Bwana,
Mtukuzeni Bwana,
Na tuliadhimishe,
Na tuliadhimishe,
Tuimbe jina lake,
Tuimbe jina lake,
Wokovu wake Bwana,
Wokovu wake Bwana,
Mtukuzeni Bwana,
Mtukuzeni Bwana,
Na tuliadhimishe,
Na tuliadhimishe.
Mtukuzeni Bwana, pamoja nami, nami, nami,
Mtukuzeni Bwana, pamoja nami, nami, nami,
Na tuliadhimishe jina lake pamoja, pamoja.
Na tuliadhimishe jina lake pamoja, pamoja.

Text Information
First Line: Mtukuzeni Bwana pamoja nami
Title: Mtukuzeni Bwana Pamoja Nami
Language: Swahili
Publication Date: 1994
Scripture:
Topic: Irada, Sifa Na Injil
Notes: Sauti: © 1994 by Glenn Boyd, Milo wa F - Mapigo 4/4
Tune Information
(No tune information)

Suggestions or corrections? Contact us