Text: | Zaburi 67 |
1 Mungu na atufadhili na kutubariki
Ee mungu, na kutuangazia uso wake, ee.
Refrain:
Watu wakushukuru Mungu,
Watu wote wakushukuru.
Wakushukuru Mungu, ee,
Watu wote wakushukuru.
2 Njia yake ijulike dunia-ni
Wokovu wake kati ya mataifa yote. [Refrain]
3 Mataifa yote, kote na washangilie,
Maana kwa haki utawahukumu watu. [Refrain]
4 Mungu wetu, ametubariki sana sisi;
Nchi imetoa mazao, itamcha yeye.
Text Information | |
---|---|
First Line: | Mungu na atufadhili na kutubariki |
Title: | Zaburi 67 |
Refrain First Line: | Watu wakushukuru Mungu |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1994 |
Scripture: | ; |
Topic: | Irada, Sifa Na Injil; Neno La Mungu |
Copyright: | Sauti [Tune] - © Copyright 1994 by Nathan Corbitt. |