Tumpeni sifa na tukuzo,
sifa na tukuzo ni zake.
Ukuu na nguvu zote zimpasaye
Mungu, ni vya Bwana, ni vya
Bwana na vimtii siku zote.
Tumpeni sifa na tukuzo,
sifa na tukuzo ni zake.
Sifa, maombi, nguvu zote ni za
Bwana siku zote, kale yote hata
itakayokuja. Amini, Amini.
Text Information | |
---|---|
First Line: | Tumpeni sifa na tukuzo |
Title: | Tumpeni sifa na tukuzo |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1988 |
Scripture: | |
Topic: | Baba Mwana na Roho Mtakatifu Mungu mmoja |
Notes: | Sauti: Lob und Ehre und Weisheit by J. S. Bach, 1685-1750, Posaunen Buch #342, Nyimbo za Kikristo #106, Tumwimbie Bwana #342 |