132. Uje Roho mwenya neema

1 Uje Roho mwenye neema,
uje hua wa mbinguni,
lete mwanga wa upozi,
wee mlinzi na kiongozi!

2 Tuchague njia yako,
kweli twaiona sasa,
ututie woga mwema,
tusimwache Mungu wetu!

3 Tupeleke kwa Mesiya,
yeye mwanzo wa uzima,
tuyatende mema yote,
mdiye njia ya mbinguini!

4 Tupeleke furahani,
tukapate kupumzika;
tupeleke kwake Mungu,
kwake iko raha bora!

Text Information
First Line: Uje Roho mwenye neema
Title: Uje Roho mwenya neema
Language: Swahili
Publication Date: 1988
Topic: Yesu anawapa wanfunzi wake Roho Mtakatifu
Notes: Sauti: Or sus serviteurs (Herr Gott, dich loben wir), Asili: Genf 1551, Posaunen Buch, Erster Band #123, Lutheran Book of Worship #163
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us