129. Ee Roho uje

1 Ee Roho uje, ee Bwana,
ujaze kipaji chako,
kwao uliowakusanya,
washa moto wa upendo!
Umetuita mwangani,
tuwe umoja pendoni,
tulio wa ulimwenguni,
kwa hiyo daima twakusifu.
Haleluya, Haleluya!

2 Mtuliza moy Mtukufu,
tuagize neno lako,
litufundishe kumtambua
Mungu na kumwita Baba.
Umetuita mwangani,
tuwe umoja pendoni,
tulio wa ulimwenguni,
kwa hiyo daima twakusifu.
Haleluya, Haleluya!

3 Utupe upozi,
kituo cha kutuliza vitani,
na tusiogope ukali
wa adui na wa mwili.
Umetuita mwangani,
tuwe umoja pendoni,
tulio wa ulimwenguni,
kwa hiyo daima twakusifu.
Haleluya, Haleluya!

Text Information
First Line: Ee Roho uje
Title: Ee Roho uje
German Title: Komm heilger Geist, herre Gott
Author: Martin Luther, 1483-1546
Language: Swahili
Publication Date: 1988
Topic: Yesu anawapa wanfunzi wake Roho Mtakatifu
Source: Mfalme Robert wa Ufaransa 1031
Notes: Sauti: Komm hielger Geist, herre Gott, Asili: Wittenberg, 1524, Nyimbo za Kikristo #98, Grosse Missionsharfe, Erster Band #97, Lutheran Book of Worship #163
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us